Top Ad unit 728 × 90

Jay Dee Aalika Fans And Friends Kujiunga Kwenye Utalii Wa Ndani

Mwanadada Diva maarufu kama Lady Jay Dee ametoa fursa ya kuwaalika mashabiki wake wote kwenda kupanda nae Mlima Kilimanjaro hapo January mwakani. Amesema hayo kupitia ukurasa wake wa Facebook mda mchache uliopita,hivyo kama we ni shabiki mkubwa wa Jide basi natumaini utaungana nae katika swala hili la kufanya utalii wa Nchini kwetu.
Jay Dee Aalika Fans And Friends Kujiunga Kwenye Utalii Wa Ndani Reviewed by Unknown on Friday, December 07, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.