Top Ad unit 728 × 90

Marya Athibitisha Kuwa Hana Ujauzito

Msanii kutoka studio za Ogopa Deejays zilizopo Kenya Maarufu kama Marya Amethibitisha kuwa sio mjamzito. Taarifa hizo za kuwa mdada huyo anaujauzito zilianza kusambaa wiki chache zilizopita kwenye mitandao ya kijamii na blogs tofauti tofauti zikimpongeza Star huyo kwa kuwa ni mjamzito. Marya amekanusha habari hiyo kwa kusema kuwa sio mjamzito na wala hategemei kuwa mjamzito kwa sasa wala hajui watu wamezitoa wapi taarifa hizo za uongo.
Marya Athibitisha Kuwa Hana Ujauzito Reviewed by Unknown on Friday, December 07, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.