Top Ad unit 728 × 90

Juicy J Ataka Kufanya Kazi Na Jay-Z, Nas Na Dr. Dre...

Akifanya interview hivi karibuni, Juicy J aliweka wazi kuwa hawa watatu ndio wanamuziki wakubwa anaotaka kufanya nao kazi zake zinazokuja. Juicy J ambae anakamilisha album yake ingine hivi karibuni ikifahamika kama Stay Trippy kutoka Taylor Gang. Juicy J ambae pia anategemea kufanya album ingine akiita Three 6 Mafia right after that one, hasa baada ya Sony Music kumkatia mkwanja wake alisema eargerly kutaka kufanya kazi na Nas, Dr. Dre and Jay-Z na wengine kibao. 

Akiendelea ku-share kuhusu album yake ya sasa, Juicy alisema mzigo unakamilika hivi karibuni, na fans wautegemee January mwishoni au February mwanzoni kabisa.
Juicy J Ataka Kufanya Kazi Na Jay-Z, Nas Na Dr. Dre... Reviewed by Unknown on Monday, December 03, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.