Top Ad unit 728 × 90

Nicki Minaj Akataa "Hot 97" Kupiga Muziki Wake Tena!!

Baada ya comments ambazo zilitolewa hivi karibuni na program director wa Hot 97, Rapper na Queen wa kundi la YMCMB, Nicki Minaj amezuia kituo hicho cha redio "Hot 97" kucheza ngoma zake. Pamoja na migangano yao iliyotokea kwenye Summer Jam mwaka huu, Program Director Ebro, amezungumza kwenye interview, huko Marekani akisema Nicki Minaj amewasiliana nae na kumwambia hataki tena nyimbo zake kupigwa katika kituo hicho cha radio. 

Ebro anaongeza kuwa Nicki alimpigia simu na kumdhihaki kwa maneno machafu hasa baada ya kutoa comment zake hizo katika interview aliyofanya kuhusu album yake iliyopita ya "Pink Friday Roman Reloaded: the Re-Up" na kusababisha kuuzwa copy 36,000 tu na kumtaka kutopiga tena nyimbo zake katika kituo chao cha redio.
Nicki Minaj Akataa "Hot 97" Kupiga Muziki Wake Tena!! Reviewed by Unknown on Monday, December 03, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.