Top Ad unit 728 × 90

Press Play Ya DJ Choka Soon Kuachiwa

Ni mtu mmoja kati ya watu maarufu sana hapa bongo ambae kazi zake zina dili na mziki huu wa hapa nyumbani au kwa kama wengi tulivyozoea kuuita Bongo fleva,hapa namuongelea bwana DJ Choka. Sasa habari mpya kutoka kwa bwana huyu ni kwamba sasa yupo mbioni kutoa track yake nyingine ambayo itabeba jina la Press Play ambapo ndani ya track hiyo atkuwa ameshirikiana na M-Rap,Gosby,Mabeste pamoja na Deddy

Mzigo huo unatarajiwa kuachiwa siku ya tarehe 12 mwezi wa 12 mwaka huu,ambapo pia mzigo mzima utakuwa umesimamiwa na B'Hits chini ya producer Pancho Latino na kufanyiwa mixing na mtu nmzima Hammy B.
Press Play Ya DJ Choka Soon Kuachiwa Reviewed by Unknown on Wednesday, December 05, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.