Top Ad unit 728 × 90

Event Page ya tarehe 20.02.2013 maoni ya wasanii kuhusu matokeo ya kidato cha nne 2013

Kutokana na matokeo ya form IV mwaka 2013 kuwa gumzo mtaani haya hapa ni baadhi ya maoni ya watu mbalimbali na hapa tumempata Mzee Zahir Zoro pamoja na msanii wa Hip Hop nchini One the Incredible ambao wameweza kutoa mitazamo yao juu ya matokeo hayo na ni nini serikali ifanye kuboresha mitaala ya elimu hasa kwa siku zijazo.
Msikilize hapa Mzee Ali Zahir Zoro akitoa maoni yake.

Hapa pia nae One The Incredible kafanya yake kwa upande wa maoni jinsi gani alivoyaona matokeo haya:

Event Page ya tarehe 20.02.2013 maoni ya wasanii kuhusu matokeo ya kidato cha nne 2013 Reviewed by Unknown on Wednesday, February 20, 2013 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.