Top Ad unit 728 × 90

Afande Sele azungumzia Album yake ya Amani na Upendo

Afande sele ameweza kuzungumzia Album yake ya 'Amani na Upendo' ambayo iko tayari na baadhi ya nyimbo zinazopatikana katika album hyo zishaanza kusikika.

Afande anaeleza kwamba kaamua kuiita 'Amani na Upendo' album hiyo kwa kusisitiza kwamba watanzania wote tunapenda kuishi katika hali ya amani na upendo na ndo maana kaamua kuipa jina hilo na kukemea kwamba asingependa kuona kwamba watu wanaishi kwa migogoro wakati wote tunafanana kuanzia rangi hadi nywele iweje tusiweze kuishi kwa kuelewana.

Msikilize hapa akiongelea hayo kupitia Event Page Fleva GX (Impact Fm).
Afande Sele azungumzia Album yake ya Amani na Upendo Reviewed by Unknown on Saturday, February 23, 2013 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.