Top Ad unit 728 × 90

Nu Track: Suma Mnazareti - Asante

Suma Mnazareti ametoa nyimbo yake mpya inayokwenda kwa jina la 'Asante" ambayo kaifanyia nchini Nigeria na kumshirikisha msanii Dannyjoe.

Ameweka wazi ngoma yake hiyo kwamba kaipa jina la Asante ambalo limebeba maana mbili yaani Furaha ama shangwe kwa kule Nigeria na kwa kiswahili likibeba maana ya Shukrani kama tunavyofahamu.

Ngoma hii Suma Mnazareti anatarajia kufanya makubwa kama yeye mwenyewe anavyosema na vile vile anawaomba mashabiki wake wampokee kama walivyoipokea ngoma ya Chukua Time aliyoimba na Ommy Dimpoz na aliweka wazi kuwa hata Video ya Ngoma hii anatarajia kuifanyia nchini Nigeria.
Nu Track: Suma Mnazareti - Asante Reviewed by Unknown on Saturday, February 23, 2013 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.