Top Ad unit 728 × 90

Davy Zinda - Kasoro (produced by Mswaki)

Kipaji kipya toka T.H.T ambacho kipo chini ya producer Mswaki (Black Curtain Studio) Dav Zinda aja na ngoma yake ya kwanza inayoenda kwa jina la Kasoro. Kwa mujibu wa Producer wake Mswaki "Dav ni msanii wa siku nyingi ambaye kipaji chake alikuwa akikitumia kwa kutunga mashairi na kuwapa wasanii mbalimbali ambapo naye safari hii kaamua kuimba mwenyewe.

Ngoma yake hii hapa chini ipakue na kuisikiliza ili kubaini kipaji alichonacho msanii huyu.


Davy Zinda - Kasoro (produced by Mswaki) Reviewed by Unknown on Thursday, March 14, 2013 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.