Top Ad unit 728 × 90

Suma Mnazareti ft. Tundaman - Tuko wangapi?

Hii ndo track mpya ya Suma Mnazareti ambayo yeye mwenyewe anasema kuwa kuna baadhi ya watu wamehusika kuifanya ivuje yaani ifike kwa mashabiki pasipo yeye mwenyewe kuiachia rasmi. Pia Suma amekataa kabisa na kudai hamjui mtu anayehusika kuivujisha track hiyo japo Producer wa ngoma hiyo naye alipoptafutwa kuizungumzia iinshu hiyo naye pia alikataa kuongea lolote juu ya inshu nzima.

Lakini kiroho safi Suma ameamua kuiruhusu track hii kutoka rasmi na kudai kuwa imemharibia ratiba zake ambapo lengo lake lilikuwa kutoa kwanza Video ya wimbo alioutengeneza Nigeria wa ASANTE na kusema sasa itambidi aifanye Viideo ya Wimbo huu kwamba na ule wa ASANTE auweke pembeni..

Sikiliza hapa na Download nyimbo hii aliyomshirikisha msanii TUNDAMAN.
Suma Mnazareti ft. Tundaman - Tuko wangapi? Reviewed by Unknown on Thursday, March 14, 2013 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.