Top Ad unit 728 × 90

FLAVIAN MATATA AFUNGUKA KUHUSU POSITION YA MASTAA WABONGO


Mrembo ambae ni mwanamitindo wa kimataifa FLAVIAN MATATA amefunguka kuhusu watu wanavyowachulia mastaa wa kibongo kuwa tofauti sana na vie inavyobidi kuwa

coz mbele(ulaya na nchi zilizo endelea) mastaa wanachukuliwa kama matangazo kipindi wanapokuwa katika maeneo ya starehe hivyo hawapaswi ku-pay pesa yoyote kuanzia kiingilio mbaka vinyaji eti kwa kuwa wanasaidia kuvuta wateja wakiwa maeneo hayo ya staehe hata kwa mishe zao

Mbali na hayo ameeleza kuwa kesho tarehe 21 may ndiyo siku aliyofariki mamayake mzazi hivyo watafanya misa nyumbani kwao na kuwaombea waanga wote ambao wlifariki katika ajali ya meli miaka ya nyuma.
FLAVIAN MATATA AFUNGUKA KUHUSU POSITION YA MASTAA WABONGO Reviewed by Unknown on Monday, May 20, 2013 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.