Top Ad unit 728 × 90

MATERIAL CLASSIC AJA NA PROJECT MPYA FT JOH MAKER 'HADITHI'


Yule presenter ambae pia ni msanii hapa anahusika mtu mzima mwenye passpot yenye jina la JOSEPH GIBSON lakini pia famously like MATERIAL CLASSIC anatarajia kuachia ngoma yake ambayo inakwenda kwa jina la HADITHI ambapo humo ndani anazungumziwa mwanamke ambae ametoka bush na kwenda town kwa kutafuta maisha yaiyomkuta huko hatari

Nyimbo hiyo amemshirikisha Joh maker msanii ambae anafanya vizuri sana na ngoma yake mpya inayojulikana kwa jina la NAKUNYOA KIPARA.....Ngoma hiyo ya rapper huyo ambae pia ni presenter inafanya katika studia za KWANZA REC chini ya producer VENT SKILLZ ambae amefanya ngoma kibao kama hili dude noma ya KITALE na nyingine kibao

SO wapenda vitu vizuri kaeni mkao wa kula kusubiri ngoma hiyo kali ambayo itaambatana na ma suprise ya ukweli gonga like kama uko tayari ku support track hiyo HADITHI from MATERIAL CLASSIC ft JOH MAKER
MATERIAL CLASSIC AJA NA PROJECT MPYA FT JOH MAKER 'HADITHI' Reviewed by Unknown on Monday, May 20, 2013 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.