Top Ad unit 728 × 90

G-Hood na Defxtro - Naendelea kutafuta [Audio]

Anaitwa G-Hood toka Arusha,Newcomer aliyeanza harakati za kurekodi mwaka huu, na zaidi ni rapper anayefanya zaidi muziki wa crunk na pia Trap..Ngoma yake amefanya pande za Noizmekah studios akimshirikisha defxtro katika chorus ya wimbo huu wa "Naendelea Kutafuta" Download HAPA CHINI na endelea kusupport muziki wa Tanzania
G-Hood na Defxtro - Naendelea kutafuta [Audio] Reviewed by Unknown on Friday, May 17, 2013 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.