LadyYoo ft YungOmega - Kivipi [Audio]
Kwa mara nyingine anakuja Mwanadada Rappa Lady Yoo Akiwakilisha Sanawari akishirikiana na Yungo Omega toka River Camp Soldiers katika hili Hiphop Ragga Joint lilosukwa pande za Noizmekah Production Studios Arusha linakwenda kwa jina "Kivpi", Mpango mzima ni kuendeleza muziki wa Tanzania especially kwa Wanadada wanao struggle kuwakilisha katika fani.
LadyYoo ft YungOmega - Kivipi [Audio]
Reviewed by Unknown
on
Friday, May 17, 2013
Rating:
No comments: