Top Ad unit 728 × 90

JE JADEN SMITH ANATOKA NA DEMU WA JASTIN BEIBER?

Kamera za mapaparazi wa ulaya zimeinyaka picha ambao ilionesha Jaden Smith akiwa Out na Mrembo Mwigizaji na mwanamuziki ambae pia aliwahi kuwa na mahusiano na Mwanamuziki Justin Beiber..
Chanzo hicho bado hakijaweka wazi muonekano huo na maswali ya wengi ni kwamba Je Machalii hawa kwa sasa wako katika mahusiano? Japo Jaden ni mdogo wa Selena Gomez. Check out hiyo Picha.
JE JADEN SMITH ANATOKA NA DEMU WA JASTIN BEIBER? Reviewed by Unknown on Saturday, May 25, 2013 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.