Top Ad unit 728 × 90

Msikilize NASH MC na Ziara yake mkoani DODOMA [Audio]

Msanii wa Hip Hop Nchini NASH MC yupo mkoani Dodoma ambapo yupo kikazi pamoja na masuala mbalimbali yanayohusu muziki ameweza kupata nafasi ya kuongea na wana DODOMA na kuwaeleza mambo tofauti mashabiki wake.

Nash alizungumza hayo wakati akifanya mahojiano ya moja kwa moja na kituo cha Radio cha Impact Fm kilichopo mkoani hapa na kueleza nini hasa kimemfanya awepo mkoani hapa.

Msikilize Nash MC hapa chini akijibu maswali tofauti tofauti kuhusiana na ziara yake hiyo.
Msikilize NASH MC na Ziara yake mkoani DODOMA [Audio] Reviewed by Unknown on Saturday, May 25, 2013 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.