Top Ad unit 728 × 90

KANDA MSETO 'CHIZI' YA NASH MC KUTOKA MWEZI HUU

Tarehe 15 ya mwezi huu wa Sita ndio siku ambayo Msanii Nash MC ataachi Kanda Mseto yake [MIXTAPE] inayokwenda kwa jina la 'CHIZI'  ambayo itakwenda kwa bei ya Shilingi za kitanzania 5000 tu..kwa wale wote watakaohitaji wanaombwa kuwasiliana na NASH MC mwenyewe kwa namba hizi 0713900994.

Onesha uzalendo kwa kununua kazi za Wasanii wetu wa Tanzania na kuendelea kukuza soko la muziki wetu wa nyumbani.
KANDA MSETO 'CHIZI' YA NASH MC KUTOKA MWEZI HUU Reviewed by Unknown on Sunday, June 02, 2013 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.