Top Ad unit 728 × 90

OPEN LETTER FROM MANGWAIR - MSWAKI FT. UNICE

Kwa wasiomjua Mswaki ni msanii aliyeanza game kitambo kabla ya kuingia katika mambo ya Production na mwanzao kabsa wakati anaanza moja kati ya wasanii waliokuwa wakimvutia sana ni Albert Mangwea ambaye alimfanya Mswaki afanye muziki wa Kum-Copy yaani kuiga sauti yake kwa kutegemea kutoka kwa style ile.

Siku zilivyozidi kwenda wadau waliamua kumshauri kwamba kwa vile ingekuwa ngumu sana watu kumuelewa ni heri ajaribu nae mtindo wake na atoke na sauti yake ili kujitofautisha na Mangwea ndipo alipoanza juhudi hizo na kutoa nyimbo kadhaa ambazo zilifanya vizuri japo siyo sana kutokana na kubaniwa na media kubwa kubwa nchini.

Now baada ya msiba huu wa Albert Mangwea, MSWAKI ameamua kuwaonesha watanzania nini hasa alichokuwa kakificha siku zote kwa kuirudia style yake ile ya zamani ambapo ameweza kufanya vizuri katika ngoma hii aliyoitengeneza yeye mwenyewe akiwa kapita kuanzia sauti hadi mitindo ya NGWEA mwenyewe.

Pata tym kuisikiliza na kudownload hapa down:
OPEN LETTER FROM MANGWAIR - MSWAKI FT. UNICE Reviewed by Unknown on Sunday, June 02, 2013 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.