Top Ad unit 728 × 90

VIDEO: Ben Pol, Lady Jay Dee na Prof Jay wafunika Show ya Kili Tour Dodoma

Ile Tour ya wasanii walioshinda tuzo za Kilimanjaro ilizinduliwa rasmi Mjini Dodoma kwa Show toka kwa wasanii wakali baadhi ya wale walioshinda tuzo...kati ya wasanii hao ni Linex, Ommy Dimpoz, Ben Pol, Kala Jeremiah, Roma, Lady Jay Dee pamoja na Prof Jay walipanda jukwaani na kufanya kile mashabiki wao alichokitaka.

Wakati wasanii hao wakiendelea na Show mmoja pamoja na kuamini angewapawawisha vilivyo mashabiki Ommy Dimpoz alijikuta akirushiwa chupa na mashabiki kwa kile kinachodaiwa hasira za mashabiki kutokana na skendo yake ya kumtukana Marehemu Albert Mangwea...kitendo hicho kilisababisha ashindwe kumaliza show yake vizuri na kujikuta akilazimika kushuka jukwaani ili kuninusuru.

Baada ya hapo alipanda Ben Pol ambaye alituliza hasira za mashabiki na kuamsha shangwe kubwa liliwarudisha mashabiki katika mzuka na kuendelea kufurahia show kali zilizoendelea katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.

Chek out videoz hapa chini za show hiyo.

Lady Jay Dee 'Joto hasira na Prof Jay walikamua kisawasawa Prof Jay na Kamili Gado nae akapagawisha vilivyo.
VIDEO: Ben Pol, Lady Jay Dee na Prof Jay wafunika Show ya Kili Tour Dodoma Reviewed by Unknown on Sunday, June 23, 2013 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.