Top Ad unit 728 × 90

Viva(Tz) ft Burney Mc (Uganda),Willy fololo(Kenya) -East Africa Metaphor Prod.MESEN

Huu ni wimbo wangu Mpya ambao umefungua sura mpya ya kunzisha safari yangu ya muziki wa kimataifa.. Naweza Sema ni wimbo uliozaaa mafanikio ya kuanzishwa familia ya Rap baina ya mcz toka nchi tofauti hapa
africa.inayoitwa Rap Diocese ambayo waasisi wake ndio hawa waliomo katika wimbo huu.Familia inaitwa Rap diocese na Imeundwa na marapa toka Tz, kenya , uganda , Ghana , na Angola. 
Wimbo huu Nimemshirikisha Burney Mc  toka Uganda na Willy fololo toka Kenya Na Ikipikwa katika Studio za DE FATALITY MUSIC Chini ya Mesen Selekta na Masebo

CONTACT VIVA
www.facebook.com/vivaRapmusic
www.reverbnation.com/vivaconscious
www.rapgenius.com/vivaconscious
www.twitter.com/vivaconscious
 PRESS MOBILE +255713259377

CONTACT BURNEY MC
www.facebook.com/banamusic
www.reverbnation.com/banamusic

CONTACT WILLY FOLOLO
www.facebook.com/willy.fololo
www.reverbnation.com/willyfololo
Viva(Tz) ft Burney Mc (Uganda),Willy fololo(Kenya) -East Africa Metaphor Prod.MESEN Reviewed by Unknown on Sunday, June 23, 2013 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.