Angalia picha za Show ya Chidi Benz Maisha Club Dodoma [Picha]
| Mashabiki wakidata na michano ya Mkali Chidy |
| Hapa mzuka umempanda hadi anamsaidia DJ ku-Press Play |
| Watoto laini wakishuhudia Flow Ngumu |
| Hapa akiongeza kidogo tu anapasua kinasa.. |
| Hapa kagongea fegi jamaa wakampa Dope... |
| Ghafla akataka kuliwasha mbele ya baunsa |
| Mara baunsa akakumbuka majukumu yake na kuanza kumzuia asiwashe |
| Mambo yakaenda sana na show kali likaendelea.. |
| Akashuka dancing flow na kuvipagawisha viuno laini kama magodoro vilivyokuwa vikikatika kwa mizuka.. |
| Watu wangu eeee!!!! Peace... mi ngoja nikalale...... |
Angalia picha za Show ya Chidi Benz Maisha Club Dodoma [Picha]
Reviewed by Unknown
on
Monday, June 09, 2014
Rating:

No comments: