Yaliyojiri kwenye uzinduzi wa Ukumbi mpya DODOMA CARNIVAL [Picha]
Tazama picha mbalimbali watu wakila burudani mwanzo mwisho.
| Andrew Sekedia alitekenya kinanda vya kutosha kuwapagawisha mashabiki |
| Wafalme wa Masati hapa wakilikamua Sebene ipasavyo |
| Christian Bella akikamua sambamba na wanamuziki wenzake |
| Mashabiki walishindwa kukaa kwenye viti kiasi cha kusogea na kulisakata Rhumba kali zilizokuwa zikishushwa toka kwa Wafalme wa masauti |
| Christian Bella akiwaimbisha mashabiki wimbo wake mpya wa Mama |
Hapa wanenguaji nao walifanya yao sambamba na Rapa wa bendi hiyo
| Dj Kipaso toka Dodoma Carnival nae aliongea yake machache |
| Mkurugenzi wa Dodoma Carnival alitoa yake machache na kuwakaribisa watu wote wa Dodoma kufika pale kwani ndo kiwanja kinachokimbiza kwa sasa hapa Dodoma |
| Shabiki alipanda jukwaani kuonesha uwezo wake...ilikuwa ni shiiiiiiiidaaaaa...... |
| Shabiki Elibariki au Osama Mweusi kama alivyopewa jina hilo hapo jana alipanda na kuonesha yake. |
| Boss Ngasa nae alikuwepo |
Yaliyojiri kwenye uzinduzi wa Ukumbi mpya DODOMA CARNIVAL [Picha]
Reviewed by Unknown
on
Monday, June 09, 2014
Rating:

No comments: