Top Ad unit 728 × 90

Muziki wa Hisia Arusha (Event) [Tangazo]


Karibu "Mango Tree" katika "Muziki wa Hisia" Jumapili Tarehe 29 mwezi wa Sita mwaka 2014 Mchana Saa Saba mpaka saa moja Jioni kwa kiingilio cha sh 10'000/= TU mlangoni, HISIA toka Tusker Project Fame 6 na Mama C watapamba jukwaa wakisindikizwa na Captain Khalid, Dany MitiMingi, Susan Japhet, One Band, Hussein, Shamsila pamoja na Bob. Njoo Upate Jazz Music, Soul, Reggae, Stand Up Comedy, AfroFusion na Poetry kwa udhamini wa Malaika Wine, Alliance Francaise, Radio 5, Thad Experience, Bongo 5, Still Waters, Kali Elegance, Big Boys Mango Tree, Fresh 120 Media, MJ Fm, Club 07 na VMG Africa.kwa mawasiliano zaidi check na +255 658 151 091 powered by www.vmgafrica.com
Muziki wa Hisia Arusha (Event) [Tangazo] Reviewed by Unknown on Wednesday, June 25, 2014 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.