GARI LA KUKODI LAMTOKEA PUANI JACK CHUZ
MWIGIZAJI wa Kibongo, Jacqueline Pentzel ‘Jack Chuz’, amejikuta kwenye
wakati mgumu baada ya kukodi gari aina ya Totota Spacio lenye namba za
usajili T 750 BPK na kushindwa kulipa.
Bongowood iliambiwa na aliyemkodishia kuwa Jack Chuz alipewa gari hilo alitumie kwa siku tano kwa makubaliano ya kulipa elfu 50 kwa siku lakini zilipomalizika, alilirudisha na nusu ya fedha hivyo anasakwa na polisi kwa jalada la kesi namba RB/CH/ 6031/2012 huku bidada akijitetea kuwa alikuwa amesafiri..
Bongowood iliambiwa na aliyemkodishia kuwa Jack Chuz alipewa gari hilo alitumie kwa siku tano kwa makubaliano ya kulipa elfu 50 kwa siku lakini zilipomalizika, alilirudisha na nusu ya fedha hivyo anasakwa na polisi kwa jalada la kesi namba RB/CH/ 6031/2012 huku bidada akijitetea kuwa alikuwa amesafiri..
GARI LA KUKODI LAMTOKEA PUANI JACK CHUZ
Reviewed by Unknown
on
Monday, August 27, 2012
Rating:
Reviewed by Unknown
on
Monday, August 27, 2012
Rating:

No comments: