WANAUME KENYA WAPANGA FOLENI KUTAKA KUMUOA RAY C!
Hivi karibuni mwanamuziki wa kike nchini Tanzania, Rehema Chalamila au Ray C amerejea nchini baada ya kukaa Nairobi, Kenya kwa zaidi ya mwaka sasa. Alipozungumza na gazeti la Ijumaa Wikienda, mrembo huyo alisema anahitaji myme wa maana ambaye atamuoa.
"Sina mume wala mpenzi kwa sasa nipo single, ukiniulizia inshu za zamani ntakushangaa kweli, vigezo ndivyo hivo, kama mtu yupo tayari ajitokeze tufunge ndoa" alisema Ray C.
Aliongeza kuwa akimpata mume huyo yupo tayari kumzalia watoto wawili na amechoka na maisha ya usela na kuwa na mahusiano na watu maarufu.
Wanaume wa Kenya wamekisikia kilio chake na wamewasiliana na mtandao wa Daily Post wa Kenya kumwambia Ray C watampa penzi moto moto....
"Ray C if u wish 2 huk up wit mi, take tiz No. 0702868104, I'm in Thika Central Kenya"..
Hey somebody hook me up with the gal"
She is super hot chick!!... what's her email? lets hook up"..
hizi ni baadhi ya sms za wanaume wa Kenya wenye lengo la kutaka kumuoa Ray C na sio kumchezea...
Katika hatia nyingine mtandao huo umesema kulikuwa na tetesi kuwa mhasibu wake nchini Kenya alimuibia pesa zake zote na hivo akajikuta akishindwa kumudu maisha kwenye maeneo ya kifahari na hivo kuhamia South B ambako alikuwa akiishi maisha ya kawaida.

Reviewed by Unknown
on
Sunday, August 26, 2012
Rating:
No comments: