King Majuto kuuvua Usanii Nov
Msanii huyo alisema kwamba ameamua kufikia hatua hiyo, kwa sababu ya umri kuwa mkubwa na kuwaachia wengine kufanya sanaa hiyo.
Alisema kwmaba baada ya kuachana na uigizaji, nguvu zake
atazielekeza kwa kuwaongoza watoto wake wakiwemo na wasanii wengine wa
fani hiyo.
Hayo yalisema na Mkongwe wa sanaa hiyo ya Vichekesho hapa nchini,
Amri Athuman 'King Majuto' anayetarajiwa kustaafu kazi hiyo mara ifikapo mwezi Novemba mwaka huu.
Msanii huyo amejizolea umaarufu mkubwa, kutokana na kumudu vilivyo
kazi yake kwani alisema kazi za wachekeshaji hazithaminiwi kama zilivyo
za filamu hivyo ni bora apumzike na kuendeleza gurudumu lingine kwenye
maisha yake.
King Majuto kuuvua Usanii Nov
Reviewed by Unknown
on
Monday, September 10, 2012
Rating:
No comments: