Justin Bieber awafunika wakongwe ‘American Music Awards 2012’
‘The baby singer’ toka Canada Justin Bieber amefunika katika
tuzo za muziki za Marekani mwaka huu ‘American Music Awards 2012’ ambapo
alibeba tuzo tatu idadi ambayo ni kubwa kuliko tuzo walizoondoka nazo wasanii
wengine.
Ingawa ana umri mdogo na akiwa na miaka michache tu kwenye
game aliweza kupenya na kuondoka na tuzo hizo tatu, ya kwanza ni Favourite Male
Pop/Rock Artist ,Favourite Pop/Rock Album na The top honor artist of the year.
Alipopanda stage kuchukua tuzo yake ya kwanza Bieber alisema
ataendelea kuwepo kwa miaka mingi ijayo, ikiwa ni kama jibu kwa wale wanaosema
atapotea kama embe la msimu.
Bieber akiwa na mama yake mzazi |
Bieber alipanda tena stage kuchukua tuzo yake ya tatu ambayo
ndiyo iliyotoa matokeo kuwa he z top prizes winner of the year, hapo alipanda
na mama yake mzazi na akamshukuru mbele ya crowd kwa kumfanya awe namba 1, kwa
kumsaport tangu day 1. Kisha akapokea tuzo yake aliyokabidhiwa na Will.i.am.
The female emcee Nicki Minaj ndiye aliyemfuatia Bieber na
aliondoka na tuzo mbili, Favorite Rap/Hip-Hop Artist ambapo alikabidhiwa tuzo
na 50 Cent, na Rap/Hip Hop Album. Nicki aliwapenya Drake na Tyga katika
category ya Rap/Hip-Hop artist, na katika kipengele cha Rap/Hip-Hop of the year
aliwapenya Drake Drizzy na J.Cole.
Hii ndiyo list ya washindi wa American Music Awards 2012:
• Artist of
the Year: Justin Bieber
• New
Artist of the Year: Carly Rae Jepsen
• Favorite
Male Artist - Pop/Rock: Justin Bieber
• Favorite
Female Artist - Pop/Rock: Katy Perry
• Favorite
Band, Duo or Group - Pop/Rock: Maroon 5
• Favorite
Album - Pop/Rock: "Believe" - Justin Bieber
• Favorite
Male Artist - Country: Luke Bryan
• Favorite
Female Artist - Country: Taylor Swift
• Favorite
Band, Group or Duo - Country: Lady Antebellum
• Favorite
Album - Country: "Blown Away" - Carrie Underwood
• Favorite
Artist - Rap/Hip-Hop: Nicki Minaj
• Favorite
Album - Rap/Hip-Hop: "Pink Friday: Roman Reloaded" - Nicki Minaj
• Favorite
Male Artist - Soul/R&B: Usher
• Favorite
Female Artist - Soul/R&B: Beyonce Knowles
• Favorite
Album - Soul/R&B: "Talk That Talk" - Rihanna
• Favorite
Artist - Alternative Rock: Linkin Park
• Favorite
Artist - Adult Contemporary: Adele
• Favorite
Artist - Latin: Shakira
• Favorite
Artist - Contemporary Inspirational: tobyMac
• Favorite
Artist - Electronic Dance Music (EDM): David Guetta
Justin Bieber awafunika wakongwe ‘American Music Awards 2012’
Reviewed by Unknown
on
Monday, November 19, 2012
Rating:
No comments: