VIDEO MPYA: MSWAKI - EPITAP
Hii ndo Video ya nyimbo mpya kabisa ya Mwanamuziki na Producer Mswaki a.k.a Mswaki Mabiti, hii ni baada ya kukaa kwa kipindi kirefu bila kutoa nyimbo akiwa bize na production za wanamuziki wengine hatimae nae aitupia hii kwa mashabiki wake waliomis mashairi yake kwa muda mrefu...ENJOY....
VIDEO MPYA: MSWAKI - EPITAP
Reviewed by Unknown
on
Monday, November 19, 2012
Rating:
No comments: