Top Ad unit 728 × 90

Msanii wa filamu John Stephano Maganga afariki dunia

Msanii wa filamu nchini Tanzania John Stephano Maganga afariki dunia katika hospital ya Muhimbili kutokana na Ugonjwa wa KONGOSHO ambao ulikuwa ukimsumbua kwa mda mrefu. 

Hali ya Marehemu ilibadilika na kuvimba tumbo ghafla, hali iliyopelekea kufanyiwa Upasuaji ili kuokoa Maisha yake lakini ilishindikana na hatimaye kupoteza uhai wake. 

Msiba wa Marehemu John Stephano Maganga uko nyumbani kwao Mwananyamala na taarifa za mazishi zitatolewa 

Enzi za uhai wake marehemu aliwahi kuigiza filamu kama Mrembo kikojozi, Chanzo ni mama , Barmaid na nyinginezo.
Msanii wa filamu John Stephano Maganga afariki dunia Reviewed by Unknown on Sunday, November 25, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.