Top Ad unit 728 × 90

X Plastaz present Shule mixtape

Kundi la x plastaz limetoa Mixtape ambayo inapatikana kwa sasa bure kabisa katika mtandao kwa ajili ya kuwapatia mashabiki wao ile ladha ya Hip Hop iliyokuwa imepotea kwa muda sasa hasa katika muziki wa kitanzania. 

Mixtape hiyo yenye jumla ya nyimbo kama 27 iko tayari na humo ndani wameshirikishwa wasanii wakaliwa hipp hop kutoka Bongo ambao ni P the MC, Fid Q, JCB, OCG, Rah-J, Jaymoe, Stopa Rhymecca Yokoi, Solo Thang, Macdamanify, TJ na Yuzzo zikianzishwa na Ziggy-Lah kutoka X Plastaz.

Track katika Mixtape hii zimerekodiwa Stockholm (Sweden), Arusha na Dar (Tanzania), Helsinki (Finland) pia Dublin (Ireland). 

Shule – Tracklist
1 Shule Intro
2 Wape Salam ft P the MC
3 Wandugu Wapenzi ft Fid Q & JCB
4 Dude ft OCG & Macdamanify
5 Yeah ft Wakazi
6 Story ft JCB
7 Achana Nao
8 40 Bars
9 Ah Ah Ah
10 Darasa ft Rah-J
11 Bang bang
12 Yupi wa Kweli ft Jaymoe
13 Mtanzania Msafiri ft Stopa Rhymecca Yokoi
14 Dereva Taxi (Temper On The Side)
15 Ndoto
16 Hip Hop ft Solo Thang
17 You Gots 2 Chill ft OCG & Macdamanify
18 Nimechoka
19 No Hook
20 Stay Low Cheza Nasi ft TJ
21 Waulize ft OCG & Mack Macdamanify
22 2Na Gadhabu
23 Tape Yangu
24 Wachaga Piga Chata II
25 R.I.P.
26 Make Chara ft Yuzzo
27 Shule

Tembelea hapa kuipata mixtape hii: DOWNLOAD X-PLASTAZ _ SHULE
X Plastaz present Shule mixtape Reviewed by Unknown on Monday, November 26, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.