MWANAYUMBA sasa kutengenezewa Filamu!
Taarifa iliyotufikia ni kwamba, ile ngoma 'Mwanayumba' ya msanii
Chegge toka kundi la Wanaume Family ipo kwenye mkakati wa kutengenezewa
filamu.
Kwa mujibu wa chanzo chetu kilicho karibu na kundi hilo, uamuzi wa
kufanya movie hiyo ulikuja baada ya majadiliano ya muda ndani ya kundi
hilo na kufikia maamuzi hayo.
Kwahiyo mashabiki wa kundi hilo muda si mrefu sana mtaanza kuziona sura za kundi hilo ndani ya Bongo movie.
MWANAYUMBA sasa kutengenezewa Filamu!
Reviewed by Unknown
on
Thursday, November 15, 2012
Rating:
No comments: