Rihanna aitukana band yake jukwaani “what the f*ck is that...” awaomba radhi fans wake (angalia video)
The R&B Diva Rihanna alionesha mashabiki wake kibao
waliohudhuria 777 tour huko London kuwa ubora wa kazi kwa ajili ya mashabiki
wake ni kitu kikubwa sana na sio bora liende.
RiRi alishindwa kuendelea kuimba hit song ‘where have you
been’ kwa sababu alisikia ubovu katika sound iliyokuwa inatoka kwenye vyombo
vya band yake aliyoikodi na sauti yake kama ilikuwa imezidi mwangi, aliigeukia
band hiyo akaiambia istop halafu akainyeshea mbovu.
“Alright, what the f**k. Stop this sh*t. What the f**k is
that? Why is the track off from the band? This is the bullsh*t we deal with
when we are just doing a random rock and roll tour with no rehearsal and
sh*t."
Baadae akawageukia fans wake na kuwaomba radhi kwa kile
kilichotokea na kuwaambia wanaanza upya track hiyo, “I apologize for everyone
[live streaming] at home ...We are going to start this one again from the top.”
Baada ya hapo ubora wa sound ulikuwa poa na akapiga show kali hadi mwisho.
Hii ilikuwa siku ya sita ya tour ya Rihanna ‘777’ ambayo
ilikuwa London, kabla ya show waandishi wa habari waliambatana nae kwenye
private jet yake walifanya vituko wakiwa katika vyumba vyao kwa sababu walikuwa
disappointed baada ya kuona dalili za kutopata habari za ku-make headline toka
kwa RiRi. Inasemekana kuwa mara nyingi Rihanna alikuwa amejificha kwenye chumba
maalum ndani ya jet hiyo na alikataa kukutana na waandishi hao wa habari.
Tazama video yenye tukio hilo
Rihanna aitukana band yake jukwaani “what the f*ck is that...” awaomba radhi fans wake (angalia video)
Reviewed by Unknown
on
Wednesday, November 21, 2012
Rating:
No comments: