Top Ad unit 728 × 90

SIASA UJINGA MARADHI NA UMASIKINI (S.U.M.U)

Haya ndo maneno ya SOLO THANG 'ULAMAA' msome... 

"Juzi kati nilitimba studio za Roof records ndani ya mitaa ya Dublin Ireland kwa mara ya kwanza tangu nilipotoa Album ya I AM TRAVELLAH vol 1,,chini oya producer TONY,,nashkuru siku ilikua nzuri na kilichopikwa  kimepewa jina la SUMU ambapo kirefu chake ni SIASA UJINGA MARADHI na Umaskini!

S.U.M.U ndio itakua project mpya yangu kwa lugha ya kiswahili,,itakua na ngoma zaidi ya  14,,project hiyo inatarajiwa kuwa tayari mwakani kipindi cha summer!

Hii sio tu Album,,hizi ndio zitakua HARAKATI zangu kijamii, zenye nia ya kuondoa SUMU hii hatari!
Source: SOLOTHANG.BLOG
SIASA UJINGA MARADHI NA UMASIKINI (S.U.M.U) Reviewed by Unknown on Wednesday, November 21, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.