WASANII WAGOMBEA NYIMBO MOJA YENYE COLABO NA DIAMOND
Msanii anayefahamika kama Silley amejikuta akitambulisha wimbo ambao ulishatambulishwa siku za nyuma kupitia Impact Fm iliyopo Dodoma na kudai wimbo huo ni wake wakati huo huo kwamba aliyefanya kazi hiyo ya kutambulisha wimbo huo ndiye yule yule aliyeutambulisha siku za nyumba kidogo ikiwa ni msanii tofauti na huyu wa mara ya pili, msanii aliyetangulia kuitambulisha nyimbo yake ni Chancy au 'Sauti ya Jogoo' ambapo aliipa jina la Bidhaa na Silley nae kuja na kuitambulisha kwa jina tofauti la 'Msope'
Presenter wa Show (Deno 'The Tash D') ambaye ndiye aliyestukia inshu hiyo ameahidi kuwakutanisha vijana hao ili kujua ukweli wa nyimbo hizo mbili ambazo hazina tofauti yoyote labda ni katika majina tu na mabadiliko ya Verses katika kila nyimbo.
Download au sikiliza nyimbo hizi hapa Chini:
WASANII WAGOMBEA NYIMBO MOJA YENYE COLABO NA DIAMOND
Reviewed by Unknown
on
Monday, November 26, 2012
Rating:
No comments: