Audio Track: BadTaito ft Moplus-Migengesho
BadTaito aka saga sole Mcs toka kijenge ya chini Arachuga wamefungua mwaka vema kwa kudrop brand new track waliomshirikisha Baba wa ukoo aka Moplus, ngoma inakwenda kwa jina migengesho na ni special kwa fans wote all over the world kwa kuuanza huu mwaka 2013, Production inefanywa pande za www.noizmekah.com chini ya Defxtro.
Audio Track: BadTaito ft Moplus-Migengesho
Reviewed by Unknown
on
Monday, January 07, 2013
Rating:
No comments: