Top Ad unit 728 × 90

Jay-Z ampa kubwa paparazzi

Camera za Mapaparazzi wa nchini Marekani zina njaa kali ya picha ya mtoto wa Beyonce na Jay-Z, Blue Yvy. Pamoja na jitihada za kutaka kupata picha ya mtoto huo, bado hajapatikana paparazzi aliyeipata picha High Definition ya mtoto huyo.

Hivi karibuni Jay-Z alimpeleka mkewe kwenye mapumziko ya Mediterranean kusherehekea siku ya kuzaliwa ya Beyonce, rapper huyo aliamua kumpa kubwa paparazzi. Ni zawadi gani nzuri ya kumpa mbeya huyo zaidi ya kidole cha kati!!

Jay alisafiri na mke wake Beyonce hadi kusini mwa Ufaransa kumpongeza kwa kutimiza miaka 31. Katika trip hiyo walienda na mtoto wao Blue, pamoja na bodyguard wa familia aitwaye, Julius.
Beyonce aliutumia muda huo pia kujinoa zaidi kuchukua picha kwa camera ya Canon ambayo watengenezaji waliingia naye mkataba wa kuitangaza.

Jay-Z ampa kubwa paparazzi Reviewed by Unknown on Friday, September 07, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.