Top Ad unit 728 × 90

ZOLA D AJA NA KAMPUNI YA KUTENGENEZA VIDEO!

Msanii wa Hip Hop ambaye pia ni mwana masumbwi (Bondia) Zola D King sasa anatarajia kufungua Kampuni itakayohusika na utengenezaji wa Video za aina mbalimbali kuanzia za Muziki, Filamu pamoja na Matangazo tofauti tofauti.

Zola D pia ameweka wazi nia yake hiyo kwa kusema kuwa amelenga sana kutoa huduma hizo kwa bei rahisi lakini Video zikiwa katika kiwango Bora na cha Kimataifa zaidi na kwa bei za maelewano hasa kwa wasanii chipukizi ambao mara nyingi wamekuwa wakikosa nafasi ya kufanya video zenye ubora na Zola D amethibitisha hilo kwa kuwahakikishia kwamba wasanii hao sasa ndo muda wao wa kupata air time pande zote yaani kutokak radio hadi katika Luninga mbalimbali nchini na nje ya nchi.

Tangazo la Zola D katika ukurasa wake wa facebook aliandika hivi:

"TUMEANZA RASMI SHUGHULI ZA KUFANYA; VIDEO SHOOTING ZA MUSIC; FILM; AND ADVERTISEMENT;
MY AIM IS TO HELP AND RISE MUSIC INDUSTRY IN OUR COUNTRY WITH LOW PRICE BUT HIGH INTERNATIONALIZATION TO THE NEXT LEVEL LOW NEGOTIATION TO UNDERGROUND MCS
YOU ARE ALL WELCOME FOR MORE INFORMATION CONTACT
ZOLA D KING:
C.E.O - ZOLA D KING.:
MY
MEMBER CREW
ALSO IN KENYA YOU CAN CONTACT WITH KIZO B "

ZOLA D AJA NA KAMPUNI YA KUTENGENEZA VIDEO! Reviewed by Unknown on Friday, September 07, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.