Top Ad unit 728 × 90

MIAKA 16 SASA TOKA KIFO CHA MWANAMUZIKI TUPAC!

Tarehe 13 September ni siku ambayoo tunakumbuka na kuadhimisha siku aliyokufa mwanamuziki Tupac Amuru Shakur. 
Hii ni stori ya maisha yake toka kuzaliwa, maisha yake ya muziki na kuigiza hadi kifo chake. 
 
Tupac Amaru Shakur (16 Juni 1971 - 13 Septemba, 1996) alikuwa mwigizaji, mwanaharakati wa haki za binadamu, na pia mwanamuziki maarufu wa muziki wa hip hop kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama 2Pac. Ni mmoja kati ya wasanii wa hip hop waliouza rekodi nyingi za muziki dunia.


Kwa historia yake full na maisha yake kwa ujumla tembelea page ya Makala za Hip Hop hapo juu..
MIAKA 16 SASA TOKA KIFO CHA MWANAMUZIKI TUPAC! Reviewed by Unknown on Thursday, September 13, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.