Top Ad unit 728 × 90

DITTO azikosa Euro 10,000 za RFI

Akiwa tayari ameweka nguvu kubwa ktk kuwahamasisha fans wake wampigie kura,  msanii kutoka THT Lameck Ditto, ameambulia patupu katika RFI, France Discoveries 24 Awards 2012 ambazo alikuwa akiwania pamoja na wanamuziki wengine kutoka nchi tofauti za Africa.
Bahati imemwendea mwanamuziki kutoka Namibia aitwaye Elemotho Gaalelekwe alieibuka mshindi wa tuzo hizo. Pamoja na kitita cha €10,000 mshindi huyo pia amepata zawadi ya kupewa promotion pamoja na kuperform katika matamasha mbali mbali makubwa.
DITTO azikosa Euro 10,000 za RFI Reviewed by Unknown on Saturday, October 06, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.