Top Ad unit 728 × 90

NEW TRACK: SAM CRISS - IN LUV

Baada ya kutamba na track ya 'AYOBA' katika audio na Video sasa Msanii anaekuja kwa kasi katika game ya muziki hapa Bongo Sam Criss sasa aja na Ngoma nyingine mpya kabisa ambayo ni club hit ya maana inayokwenda kwa jina la 'In Luv' aliyoifanyia katika studio za Home Town Records na tayari ipo hewani kupitia radio pamoja na kupatikana katika Video kwenye vituo vya television hapa bongo.

Ipate audio hii kwa HAPA
NEW TRACK: SAM CRISS - IN LUV Reviewed by Unknown on Friday, October 05, 2012 Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by Dj Mchomo © 2014 - 2015
Powered By WordPress24x7

Contact Form

Name

Email *

Message *

Dj Mchomo. Powered by Blogger.